Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 844
- 1,606
Epuka kutoa taarifa binafsi kama namba binafsi za simu, anwani za makazi au picha nyeti. Taarifa hizi zinaweza kutumiwa vibaya na kusababisha ukatili kama vitisho, kuchafuliwa jina au kuzushiwa taarifa za Uongo Mtandaoni.
Aidha, unaweza kutumia mipangilio ya faragha (privacy settings) katika akaunti zako za Mitandao ya Kijamii ili kudhibiti wanaoweza kuona 'post' yako.