Dr Luu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 968 Reaction score 856 Jul 29, 2025 #21 Watu wamezoea kupokea majibu ya moja kwamoja ndio matatizo yakusoma maanahadi chuo tulipewa notes zakuandika da hii matrix noma sana. Umeshaambiwa avoid vitu flan bado huelewi? Hatari. Kwa wenye peo kuu basi epukeni hivyo vilivyo elezwa.
Watu wamezoea kupokea majibu ya moja kwamoja ndio matatizo yakusoma maanahadi chuo tulipewa notes zakuandika da hii matrix noma sana. Umeshaambiwa avoid vitu flan bado huelewi? Hatari. Kwa wenye peo kuu basi epukeni hivyo vilivyo elezwa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,853 Reaction score 184,677 Oct 19, 2025 #22 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw