Papillon 1906
Senior Member
- Jun 19, 2025
- 187
- 652
MnooUzi unaFunza huu
Epuka dayalisisi ambayo ni njia bandia kutoa uchafu n maji mwilini kwa kuzingatia kula vizuri kupiga zoezi na kadhalikaUzi ndo ume isha!?
Epuka dialysis!? Ndo title lakin ndani una elezea process za dialysis tuepuke nini sasa daktari!?
asanteAVOID
-salt
-sugar
-junk foods
-stress
-sitting for too long
-alcohol
-processed food
-saturated fats(fry and packed foods)
-cheese
STREEEEEEEEEEESUzi unaFunza huu
Ukiepuka dialysis ndani ya mwezi au miezi miwili tunakuzikaEpuka dayalisisi ambayo ni njia bandia kutoa uchafu n maji mwilini kwa kuzingatia kula vizuri kupiga zoezi na kadhalika
Mbona kila kitu kipo wazi
Kivipi na nimeepukaUkiepuka dialysis ndani ya mwezi au miezi miwili tunakuzika
Kama una kidney failure huwezi kuepuka dialysis ila kama huna basi ni vyema kutunza afya yako ili usipatikane na ckdKivipi na nimeepuka
OkayKama una kidney failure huwezi kuepuka dialysis ila kama huna basi ni vyema kutunza afya yako ili usipatikane na ckd
Kwa sababu mtu aliyefikia uhitaji wa hiyo huduma amefikia kiwango ambacho mlo au lishe na mazoezi pekee haviwezi kusaidia kuondoa sumu zote bila mashine.Kivipi na nimeepuka
NimekupataKwa sababu mtu aliyefikia uhitaji wa hiyo huduma amefikia kiwango ambacho mlo au lishe na mazoezi pekee haviwezi kusaidia kuondoa sumu zote bila mashine.
Ikiwa umekutwa na shida ya figo kabla ya Hali mbaya mozoezi, vyakula na vinywaji alivyotaja vinaweza kuthibiti tatizo ukaepuka dialysis.