Mkuu Epson sx 100, inatumia cartridge nne tu, ambazo ni Cyan,magenta,yellow na black.pia ni printer ndogo ukilinganisha na px 660 ambayo inatumia cartridge 6.
Hii sx 100 haifai kwenye matumizi ya kibiashara coz iko slow pia quality yake ya picha sio nzuri, jambo jingine upatikanaji wa spair zake ni mgumu. Pia xp 600 sio imara mkuu.labda kwa matumizi ya kawaida tu, sio ya kiashara.
Bora ununue Px 660, px 720, Px 730, L800, au L210. T50, P50, hizi zote mimi naziaminia.