Mchungaji Ritch
Senior Member
- Sep 4, 2010
- 115
- 20
Epson WorkForce 7515 printer, Inauzwa ni Printer, Copier, Scanner, Fax, Wireless yani Wi-Fi, Network port, card reader, Ina print A3 paper size na A4 kawaida, print picha lab quality inatumia wino wa nje yani Continous Inking System CISS wahi sasa inafaa hata kwa studio ni PM au piga 0754626616 kwa bei na maswali zaidi. Ni mpyaaaaa. Ipo Arusha.