Nimekusoma vizuri mno Mkuu! Shukrani Sana. Lakini LaserJet ni cheap ila zina gharama kubwa mno linapokuja suala la wino. Kama unafahamu aina ya Printer ambayo ina-print kurasa za kutosha na wino wake ni bei rahisi unaweza kushea nami hapa na nitashukuru.
Yah almost zote, ndio mana unaona biashara zinaendelea wangekua wananunua toner original za kina hp au samsung wengi biashara zingewashinda, photocopier nyingi ni laser pia.Kuna LaserJet ambayo ni refillable Boss?
Ebu nishauri aina moja ya LaserJet ambayo sinunui cartridge, instead najaza wino tu.Yah almost zote, ndio mana unaona biashara zinaendelea wangekua wananunua toner original za kina hp au samsung wengi biashara zingewashinda, photocopier nyingi ni laser pia.
Karibu zote wana refill we nenda shop, angalia model zilizopo then ukusanye taarifa zake.Ebu nishauri aina moja ya LaserJet ambayo sinunui cartridge, instead najaza wino tu.
LaserJet inatumia ink au toner?Karibu zote wana refill we nenda shop, angalia model zilizopo then ukusanye taarifa zake.
Nina hp 1320, hp 1018 na samsung ml 2165 zote ni laserjet na nafanya refill, kwa dsm wanafanya kuanzia 15,000/= nadhani.
Hapo juu nimechanganya kidogo, ila point ilikuwa zote ni laser printers, Laserjet, ni jina tu la premium printers zinazotengenezwa na hp.LaserJet inatumia ink au toner?
Laser zote zinatumia toner.LaserJet inatumia ink au toner?
Sasa hapa utajaza vipi wino katika Toner Boss? Nilidhani una replace cartridge with a new one na kutupa ile old one!Laser zote zinatumia toner.
Mkuu embu tumia google vizuri kuna majibu mengi sana mazuri kwa hilo swali lako.Sasa hapa utajaza vipi wino katika Toner Boss? Nilidhani una replace cartridge with a new one na kutupa ile old one!
Hahaaa, ok BossMkuu embu tumia google vizuri kuna majibu mengi sana mazuri kwa hilo swali lako.
Mkuu unamaanisha hiyo mashine inaprint na kutoka copy ni 400,000 tu dukani?. Nilikuwa naandaa bajeti ya 2M kupata mashine kwa ajili ya stationary. Vipi inaweza kuhimili majukumu ya stationary ili nisave pesa?haitofautiana sana na L382. Bei inaRange kati ya 400,000/ hadi 550,000/-
Wanasema inaweza kuhimili kutokana na hiyo greatest number of pages it can print.Mkuu unamaanisha hiyo mashine inaprint na kutoka copy ni 400,000 tu dukani?. Nilikuwa naandaa bajeti ya 2M kupata mashine kwa ajili ya stationary. Vipi inaweza kuhimili majukumu ya stationary ili nisave pesa?
Asante sana mkuu, ngoja nichukue muda kuitathimini zaidi, ila sehemu ambayo nataka kuiweka idadi ya wateja ni ya kawaida tu. Hivyo nimeona ni vyema kama ntatumia gharama ndogo pia katika mtaji.Wanasema inaweza kuhimili kutokana na hiyo greatest number of pages it can print.
Tatizo wanasema:
1. Iko slow mno katika ku-print, that means kama una print copy nyingi unatumia muda mwingi mno kumaliza so that inaboa wateja.
2. Haina option ya kuweka number of copy wakati wa kufanya copying. Hii Ina maana haifai kwa kukopi copy nyingi or utalazimika kurudia rudia kila mara kukopi mpaka upate number of copies per page.
Hii ni kwa mujibu wa Maelezo ya Maboss wetu hapa ambapo nimewaelewa kiivyo.
But all in all, still me imenivutia mno kwa namna ilivyoelezwa kwani nataka ya kupishia documents za kila siku kwa matumizi binafsi.
Asante sana mkuu, ngoja nichukue muda kuitathimini zaidi, ila sehemu ambayo nataka kuiweka idadi ya wateja ni ya kawaida tu. Hivyo nimeona ni vyema kama ntatumia gharama ndogo pia katika mtaji.
Kwa black and white ni copy 5000 kwa coloured unapiga hadi 7000.mIMI NIMETUMIA SASA HIVI NI MIEZI 6 NIMEMAMLIZA REAM MOJA YA KARATASI BLACK AND WHITE AND COLOUR SO FA SIJAMALIZA HATA CHUPA MOJA KWA MUJIBU WA MELEZO YAO UNAWEZ PIGA ANGALAU REAM SITA
Kiasi gani unauza?Lakini pia kwa uhitaji wa adjustment program za epson zote (hapa unapata na key yake, na sio WIC RESSET maana hawa wana bei kubwa kulinganisha na rate ya tsh) wasiliana nami kwa 0766966209
Sent using Jamii Forums mobile app