Mr Sanguine
Member
- Dec 29, 2017
- 77
- 44
- Thread starter
-
- #21
Errors ni za kawaida, isipokuwa kwa vile hizo model hazina screen hivyo haziwezi kuonesha error kwenye printer yenyewe , itablink tu kiaina fulani kutegemea na error ila kwenye computer kuna utility yake inayo minitor status ya printer n andio itakuwa inakupa maelezo ya error.
pia printer za aina hii kama epson ukiprint pages kadhaa kama 1000 hivi inahitaji kuReset counter. Google kitu kinaitwa WIC RESET inahusisha almost printer zote za epson.
Japo sijawahi kutumia hii aina yako, lakini nimewahi kutumia HP Deskjet 1000 series yenye kutumia ink pia.
Iliniletea zengwe kama hili but nilifanya clean printer process ikawa poa.
Hii Epson inaonekana ni balaa mno.
Reset key ni lazima kwa printer nyingi ila kwa L210 kuna software ambayo haihitaji key. ukishakuwa nayo tu ndio basi tena.Ukifanya reset haisumbui? Maana Kuna nyingine unatakiwa uwe na reset key
Reset key ni lazima kwa printer nyingi ila kwa L210 kuna software ambayo haihitaji key. ukishakuwa nayo tu ndio basi tena.
Zinauzwa? Au PRINTER yenyewe inayo
Program zipo online free, ila Key ndio unanunua kwa kila Reset unayofanya. Mafundi wengi wanazo access links za kununua key mtandaoni.
nipo Arusha mkuuUko wapi Mkuu mikutafute zaidi
nipo Arusha mkuu
Ninaishi Arusha pia, Ila kwa sasa nipo Iringa. Vipi Bei ya huko Arusha kama zipo zile mpya! Ni sh ngapi
Hadi nikaulizie, maana huku maduka machache. huwa zinapatikana pale Arusha Card center maeneo ya Friends corner
mIMI NIMETUMIA SASA HIVI NI MIEZI 6 NIMEMAMLIZA REAM MOJA YA KARATASI BLACK AND WHITE AND COLOUR SO FA SIJAMALIZA HATA CHUPA MOJA KWA MUJIBU WA MELEZO YAO UNAWEZ PIGA ANGALAU REAM SITA
Mkuu tumeshamaliza mabox ya ream 4 had sasa KAZI yetu n kujaza tu wino mweusi had sasa katka zile chupa za reserve imebaki moja so n very cost effective Ila ktk swala la speed na kibiashara ni lazma uwe na mashine moja kubwa itakayokuwezesha kuchagua idadi ya copy unazotaka
Katka PC option ipo Ila ukitaka kutoa copy hakuna option hio bossKwani hata katika PC hamna option ya ku-print number of copies?
Katka PC option ipo Ila ukitaka kutoa copy hakuna option hio boss
Mimi situmii Kwa biashara...kwa hio suala la faida ni juu yako Mimi najua kuhusu performance yakeKwa uwezo huo mnaosifia, Ina maana siwezi ku-print kwa Bei ya kukopi na ikanipa faida Boss?
Wakuu, nimepitia kurasa za mitandaoni kama Jumia na Kuoatana na kukutana na tangazo la Epson L382 ikiwa dukani kuuzwa. Nimejisikia kuipenda, lakini nataka kujua kitu kuihusu. Najua humu kuna wataalamu waliobobea kuihusu kabisa.
Naomba kujua changamoto za hii Printer na iwapo inafaa kwa matumizi ya Stationary ambapo sina photocopier, yaani naitegemea hiyo kwa kutoa kopi na ku-print, pia ku-scan. Vipi?! Inaweza kunipa faida au?
Binafsi sijawahi kuimiliki, ila nimewahi kuiona ikifanya kazi nilipoenda ku print documents zangu zilikuwa coloured, kwanza ufahamu hiyo ni inkjet printer, na ipo slow kwa hiyo kama copy ni nyingi itachukua muda mrefu sana, jambo ambalo kibiashara sio zuri, ushauri wangu nunua hiyo kwa ajili ya colored documents kisha utafute laserjet kwa ajili ya copies kwa kuanzia.Kwa uwezo huo mnaosifia, Ina maana siwezi ku-print kwa Bei ya kukopi na ikanipa faida Boss?
Lakini LaserJet ni cheap ila zina gharama kubwa mno linapokuja suala la wino. Kama unafahamu aina ya Printer ambayo ina-print kurasa za kutosha na wino wake ni bei rahisi unaweza kushea nami hapa na nitashukuru.Binafsi sijawahi kuimiliki, ila nimewahi kuiona ikifanya kazi nilipoenda ku print documents zangu zilikuwa coloured, kwanza ufahamu hiyo ni inkjet printer, na ipo slow kwa hiyo kama copy ni nyingi itachukua muda mrefu sana, jambo ambalo kibiashara sio zuri, ushauri wangu nunua hiyo kwa ajili ya colored documents kisha utafute laserjet kwa ajili ya copies kwa kuanzia.
Nimekusoma vizuri mno Mkuu! Shukrani Sana. Lakini LaserJet ni cheap ila zina gharama kubwa mno linapokuja suala la wino. Kama unafahamu aina ya Printer ambayo ina-print kurasa za kutosha na wino wake ni bei rahisi unaweza kushea nami hapa na nitashukuru.
Kuna LaserJet ambayo ni refillable Boss?Gharama ipo kama utanunua brand toners, ila kama utafanya refills na ukapata wawekaji wazuri ni way cheaper.