Mr Sanguine
Member
- Dec 29, 2017
- 77
- 44
acha papara, wanarudi makazini , watakuja wape mda!Mpaka sasa hamna msaada?!
acha papara, wanarudi makazini , watakuja wape mda!
Asante Mkuu. Wino wake unaweza kudumu kwa muda gani?Ninayo naitumia nyumbani kwangu kwa shughuli za kuprint za kawaida kwa mujibu wa mimi changamoto yake kubwa ni kwamba sio heavy duty so ukiwa na kazi nyingi kwa wakti mmoja inaweza kuwa kimbembe.Mimi mwenye nshaanza kufikiria kuuza hii ya kwangu.Uzuri inatumia wino wa vitank na binafsi naamini ni more cost effective chupa nne.So ukiniuliza kuhusu faida utapata faida ila kwa muda nilioitumia naichukulia kama mashine ya kazi za kawaida na sio heavy duty kwa maana ya speed,Print quality yake ni nzuri full colour ni nzuri.
Wakuu, nimepitia kurasa za mitandaoni kama Jumia na Kuoatana na kukutana na tangazo la Epson L382 ikiwa dukani kuuzwa. Nimejisikia kuipenda, lakini nataka kujua kitu kuihusu. Najua humu kuna wataalamu waliobobea kuihusu kabisa.
Naomba kujua changamoto za hii Printer na iwapo inafaa kwa matumizi ya Stationary ambapo sina photocopier, yaani naitegemea hiyo kwa kutoa kopi na ku-print, pia ku-scan. Vipi?! Inaweza kunipa faida au?
mIMI NIMETUMIA SASA HIVI NI MIEZI 6 NIMEMAMLIZA REAM MOJA YA KARATASI BLACK AND WHITE AND COLOUR SO FA SIJAMALIZA HATA CHUPA MOJA KWA MUJIBU WA MELEZO YAO UNAWEZ PIGA ANGALAU REAM SITAAsante Mkuu. Wino wake unaweza kudumu kwa muda gani?
Kaka, Bei ya L210 tafadhaliL382, sio heavy duty printer ila ni economical. kutumia katika stationery inaweza kukuangusha kutokana na Spidi yake ndogo wakati wa kutoa copy ukilinganisha na laserjet printers/copiers.
**hizi ni Hasara zake:
- Slow copying
-spidi ya kuprint sio tatizo ingawa haifikii laserjet
-Reset software yake inaweza kuwa inakugharimu kiasi ukifikisha page kama kila 1000 pages.
-huwezi kuset number of copies wakati wa kutoa copy
-huwezi kuseti contrast/brightness ya copy
-error message huwa zinatokea kwenye computer
**Hizi ni faida zake:
-economical, hapo utafurahia gharama ndogo ya wino
-Print quality ni nzuri sana na colored(Ukitumia karatasi nzuri huwa inapiga hadi 5760dpi)
-ni special kwaajili ya kuPrint picha kwa kutumia photo paper (Kama za epson glossy au clarion glossy)
-Rahisi kuoperate na kuweka wino.
-Wino mwingi bei rahisi (Tafuta wino mzuri)
-ina uweza kuprint hadi karatasi ngumu za gramate 300 au zaidi kidogo, hapo utaprint hadi business cards, vipeperushi, brochures......
Ushauri; ukipata L210 naiaminia zaidi.
Duh! Kumbe iko fresh hatarimIMI NIMETUMIA SASA HIVI NI MIEZI 6 NIMEMAMLIZA REAM MOJA YA KARATASI BLACK AND WHITE AND COLOUR SO FA SIJAMALIZA HATA CHUPA MOJA KWA MUJIBU WA MELEZO YAO UNAWEZ PIGA ANGALAU REAM SITA
haitofautiana sana na L382. Bei inaRange kati ya 400,000/ hadi 550,000/-L210 Sh ngapi kamanda
haitofautiana sana na L382. Bei inaRange kati ya 400,000/ hadi 550,000/-
Nilikuwa nayo L800
Nimedumu nayo miaka 4
iko poa sana,na kama walivyosema Machief upande wa wino,ni rahisi sana
Ila kidogo imeniletea tatizo la kutoa karatasi wakati wa kuprint
Kwa wajuzi wa tatizo hili,naomba msaada wa mawazo na ushauri
Naam nakupata vema. Lakini mlisema kuna ERRORS fulani hivi huwa zinatokea ambazo zinaifanya isiwe applicable, mnasemaje hapo? Huwa mnatatuaje tatizo hilo?