Mchungaji Ritch
Senior Member
- Sep 4, 2010
- 115
- 20
Jipatie Epson L210 Printer Mpya kwa bei poa. Wino ni wa nje, Ina scanner, copier na printer hapo hapo. Kwa maelezo zaidi na bei ni PM au piga 0754626616. Karibuni ipo Arusha na utatumiwa popote ulipo.
Ndugu tusiwe wavivu na tusiendekeze uvivu kama ni mhitaji kweli atapenda kufahamu zaidi kuhusu hii pinter zaidi ya picha tu. Nakufundisha na wewe ukihitaji kitu na model yake imeshawekwa wazi jambo la kwanza hakiki mwenyewe maelezo ya muuzaji kama ni ya kweli kwa utafiti wako binafsi yaani 'google' upate maelezo ya kina na ya ziada kwani hakuna mfanya biashara atakayetaja mapungusu ya bidhaa yake kama yapo ila utafiti wako binafsi utayagundua kabla ya kununua. Kama muda huna au unaona uvivu utalizwa sanaaa. Karibu na shukran kwa maoni yako.kama kweli unafanya biashara weka picha na bei ,acha mambo ya pm ,watakupm wangapi.Au biashara hii ni siri mkuu.
Ndugu tusiwe wavivu na tusiendekeze uvivu kama ni mhitaji kweli atapenda kufahamu zaidi kuhusu hii pinter zaidi ya picha tu. Nakufundisha na wewe ukihitaji kitu na model yake imeshawekwa wazi jambo la kwanza hakiki mwenyewe maelezo ya muuzaji kama ni ya kweli kwa utafiti wako binafsi yaani 'google' upate maelezo ya kina na ya ziada kwani hakuna mfanya biashara atakayetaja mapungusu ya bidhaa yake kama yapo ila utafiti wako binafsi utayagundua kabla ya kununua. Kama muda huna au unaona uvivu utalizwa sanaaa. Karibu na shukran kwa maoni yako.

Ipo kaloleni mtaa uliopo nyuma ya St,Margaret school .Ofisi yako ipo wapi hapa Arusha ndugu.
ni aina gani iyiSure uko sahihi Mchungaji
Mimi ninayo coloured hp ina printer na coppier bei 150,000/=
Jipatie Epson L210 Printer Mpya kwa bei poa. Wino ni wa nje, Ina scanner, copier na printer hapo hapo. Kwa maelezo zaidi na bei ni PM au piga 0754626616. Karibuni ipo Arusha na utatumiwa popote ulipo. Specifications - Epson L210 - Epson
mkuu ni sh ngapi za kitanzania