Epson L210 Mpyaa

Epson L210 Mpyaa

Mchungaji Ritch

Senior Member
Joined
Sep 4, 2010
Posts
115
Reaction score
20
Epson L210 mpaya ina scanner, copier na printer ila kikubwa zaidi inatumia wino wa nje. Ajabu pevu ni bei yake poa ni laki 5 tu. Ni PM kwa maswali na jinsi ya kuipata nipo Arusha. Picha pia inaprint.
 
ni used au mpya unazo nyingi au hiyo moja? mwisho weka namba ya simu
 
Maru kichwa cha habari kinasema mpya au used? i repeat mpyaa. Sema idadi unayohitaji. 0784626616/ 0754626616
 
Zipo cartridge unahitaji za ndani na ni namba ngapi? kama ni kwa ajili ya continous yani wino wa nje upo pia kwa wingi Donnie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom