Yassss!! Awesome work Juventus!
Spurs are out! Hahaha yayyy! Don't mess with the Italian champs!
Waiting for Barca to knock Chelsea out. And then Man utd,City and Liverpool,hope they all get better fixtures so they can also get knocked out!
Juve hakustahili kupita, lakini ndio keshapita. Nasema hivi, timu zote zilizofuzu na zitakazofuzu, hazitamani kabisa kukutana na Man City, maana ndio bingwa wa UEFA msimu huu. Haya ni maoni yangu, unaruhusiwa kunipinga.
Mkuu spurs kacheza mpira mwisho dk ya 50 the rest juve amecheza vizuri sana. Spurs alicheza mpira mzuri mechi ya kwanza turin, ila jana ukimtoa mkorea son hamna kitu. Wazee wametumia experience + ubabe wa Mechi. Utakua mchawi ukishindwa kumpa pongezi kocha wa juve kwa kufanya sub za maana. Kumbuka hii timu mwaka jana barca hakupata goli hata moja ingawa alishambulia mwanzo mwisho. Toa credit kwa BIANCONERI mtaalam. FINOALLAFINE