sidhan kama amegraduate.
sidhan kama amegraduate.
so u dont work unashida kusikiza clouds?
mkuu ugraduate sio ishu coz wengi wamegraduate stil wanapigwa na maisha wakat wasiokua graduate wanakula gud time tu.
kimsingi leo kibonde kaboa sana manake anajitahd hadi kutetea ishu ya spika kuibeba ccm? kaulizwa swali juu ya maspika wote kuwa wana ccm je hawawanyimi wabunge haki kasema hapana lol wakati ili lipo wazi kabisa?
bora kutomsikiliza ili kuepuka kujipa pressure
bora ukasikiliza redio zingine kama east africa radio au RFA au radio za dini
upeo wa watangazaji wa clouds na radio zingine ni wa mashaka
ni wa low na cheap prices unategema litoke jema lipi kwao?
sidhan kama amegraduate.
so u dont work unashida kusikiza clouds?
Chuo cha Vipodozi na scrub! na kula bure harusini!hivi Ephrahim Kibonde ni graduate wa chuo gani?
Akheri yake kama yupo hivyo...Ila jihoji mwenyewe ...WEWE UMEPIMA? Vinginevyo wewe ndiyo **** na kilaza wa kutupwa wakati yeye ni Mjanja!.duh.! Nasikia watu dizaini hiyo wanahasira sana. Mungu niepushe!