sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,099
- 8,727
Kwa hivi sasa kuna mjadara unao endelea juu ya ripot ya mzee prof mruma na hatua ambazo wachache wanaziponda zilizo chukuliwa awali na serikali ya awamu ya tano.
Wapo wanao sema kuwa tusipo kuwa makini tutashitakiwa na kushindwa na kuliingizia taifa hasara.
Swali langu moja,hiv ndgu zangi mnajua kuwa taifa ili lina watu wengi hatjui madhara ya escrow,downs na epa wala hata lire la samaki wa mzee mkulu enzi hizo?
Kwa nn hatujui ni kwa ssbabu taifa halina watu wachambuzi wa kuelezea kwa kina mpk sisi wakulima hasa kwa kutuelezea kwa kulinganisha na hali halisi ua maisha yetu mfano mtu atambie kuwa mfano samaki wa maguli walilitia taifa hasara ya shilingi ngap sawa na kunujua majembe au mbolea kiasi gani?
Ndio maana hata yule mzee wa vijisent alivosema pesa ilebni kijisenti sisi wananchi wake tuliamini ni vikisent maana huwa akija jimboni huwa tunaendavkumtembelea karbia wananchi wte siku hiyo tutakula na kunywa na baad ya tukio tutapewa bahasha kama wanavo pewaga wanahabari wa tanzania kabahasha ka kaki sisi waleeeee!
Tunaomba mfano kama kweli tumasema tuna vyombo vya habar makni basi watuchambulie ile ripoti ya mzee mruma sio kutumbia tumekuwa tunaibiwa watuambie kile kiasi kilichoibiwa ni sawa na hospitali na shule ngap tumezikosa?au madawat mangap?au ni sawa na mishahara mingap ya rais wetu?
Mwisho vita hii kama kweli mnataka mpk sis wakulima tuwaunge mkono tunaomba wafatao muwakamate kwanza
Karamagi,Lowasa,Sumaye, kikwete,Mkapa, na mawaziri wte waliopita kweny ile wizara.kasoro prof tu maana yy ana cv kubwa ila hisiyo na tija kwa taifa.