Enzi zetu skuli: Kulikuwa na HUIMA (CASFETA), UKWATA na TYCS wakati tukisoma

Kuna jamaa mmoja was Imani kali ya kikriso baada ya kupiga paper test za form six kadhaa na kuona matokeo hasi akasema " Kuna watu wanachukua akili za wenzao kimiujiza" dah nikikumbuka nacheka Sana!
 
"Sabuni hujuta kwanini ilitengenezwa kwa kuteleza" nimecheka sanaaa mkuu, by the way i think maisha ya boarding kwa kipindi cha nyuma kidogo yote yalikuwa yanafanana.
 
Vijana wa sasa wanajiona mabishoo sana..

Moment hizo ni hazisahauliki.. Yaani ulivyosimulia nikahisi km nipo kule shule aisee .

Maandishi mazuri sana mkuu
 
TYCS hawakuwa wanafiki,
CASFETA hawa walikuwa walokole kupita maelezo.Ukigundulika una bf tu unatengwa,ukijichomoa hapa waweza kuangukia UKWATA.
Hivi UKWATA kirefu chake ni nini maana sisi wengine hatukubahatika kuwa katika shule mchanganyiko wa dini hivyo yetu ili TYCS tu. Maana dini moja dhehebu moja la katoliki. Tulikosa mengi sana lakini katika makongamano ya TYCS tylicheza disco pia. Tatizo ni kwamba kwa kificho.
 
Kakiri pale juu copy & paste. Nilisoma mwaka juzi nilifurahi sana. Nimeprint hard copy lkn pia nikaeka kwenye group letu laxSongea Boys miaka ya 90. Hapo watoto wa Songea girls waliitwa TAMSALA. Ile holding tit tuliita kubania. Kuna .wengi kweli ya kukumbuka.
Kwa kizazi hiki cha sasa hayo mambo yangekuwepo nadhani watoto wa kike wangekoma wakati wa kucheza blues...maana siku hizi mambo ya blues hayapo zaidi ya kusikiliza tu
 
Hivi UKWATA kirefu chake ni nini maana sisi wengine hatukubahatika kuwa katika shule mchanganyiko wa dini hivyo yetu ili TYCS tu. Maana dini moja dhehebu moja la katoliki. Tulikosa mengi sana lakini katika makongamano ya TYCS tylicheza disco pia. Tatizo ni kwamba kwa kificho.
Ushirika wa Kikristo wa Wanafunzi wa Tanzania
 
Back
Top Bottom