Enzi zake Daudi Bashite akiwa msanii wa Hiphop

Uongo, hiyo ni picha ya Marehemu Banzo Stone (Masanja). Acheni uongo.
Watu mmekuwa wajinga sana wa kupitiliza. Hata kama mnalipwa na hao drug dons akina Mbowe ila hamtaweza kushinda hii vita, maana Mungu yupo upande wa Makonda.
 
Ana mahesabu makali sana makonda namsifu kwa hilo,maana kama alijua ya mbele kabashite cheti leo mkuu wa mkoa wengi mbona wamebashite vyeti wapo tu kwenye ofisi ndogo ndogo
 
Hivi JF ina maana imejaa vilaza namna hii? Ukiangalia hiyo picha bila kubahatisha wala nini ni RAMADHAN MASANJA(banza stone) yaani humu siku hizi wamejaa vilaza tu kazi kukurupuka tu hiyo miaka ya 90 makonda si alikuwa mtoto kabisa wa miaka kama minane tu
 
Uongo, hiyo ni picha ya Marehemu Banzo Stone (Masanja). Acheni uongo.
Watu mmekuwa wajinga sana wa kupitiliza. Hata kama mnalipwa na hao drug dons akina Mbowe ila hamtaweza kushinda hii vita, maana Mungu yupo upande wa Makonda.
We utakuwa na matatizo ya macho,,,, picha ipo safi inamuonesha bashite unasema banza stone tena? Acha upofu by the way ni kipindi hicho haidhuru kitu
 
Hamna Makonda hapo hilo ni group la Niggaz to Public aka N2P kwenye mahafali ya Kibasila 1995 huyo mwenye doggie doggy ni FB friend ndio aliiweka hiyo pic kwenye wall yake
 
huyo wa pembeni mbna kama tejaaaaaaaaa!!!
picha linaendelea
 
hio mistari kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…