Enzi zake Daudi Bashite akiwa msanii wa Hiphop

Uongo, hiyo ni picha ya Marehemu Banzo Stone (Masanja). Acheni uongo.
Watu mmekuwa wajinga sana wa kupitiliza. Hata kama mnalipwa na hao drug dons akina Mbowe ila hamtaweza kushinda hii vita, maana Mungu yupo upande wa Makonda.
 
Ana mahesabu makali sana makonda namsifu kwa hilo,maana kama alijua ya mbele kabashite cheti leo mkuu wa mkoa wengi mbona wamebashite vyeti wapo tu kwenye ofisi ndogo ndogo
 
Hivi JF ina maana imejaa vilaza namna hii? Ukiangalia hiyo picha bila kubahatisha wala nini ni RAMADHAN MASANJA(banza stone) yaani humu siku hizi wamejaa vilaza tu kazi kukurupuka tu hiyo miaka ya 90 makonda si alikuwa mtoto kabisa wa miaka kama minane tu
 
Uongo, hiyo ni picha ya Marehemu Banzo Stone (Masanja). Acheni uongo.
Watu mmekuwa wajinga sana wa kupitiliza. Hata kama mnalipwa na hao drug dons akina Mbowe ila hamtaweza kushinda hii vita, maana Mungu yupo upande wa Makonda.
We utakuwa na matatizo ya macho,,,, picha ipo safi inamuonesha bashite unasema banza stone tena? Acha upofu by the way ni kipindi hicho haidhuru kitu
 
Hamna Makonda hapo hilo ni group la Niggaz to Public aka N2P kwenye mahafali ya Kibasila 1995 huyo mwenye doggie doggy ni FB friend ndio aliiweka hiyo pic kwenye wall yake
 
Hapa bwana Bashite straight outta Koromije akiwa anachana ma verse hatari
Eeh Mungu wa Israel,hii nchi bana kuna ma genius mtaani wamedata na msongo wa mawazo huku kuna vilaza wanaojua kujipendekeza na kufokea watu ndipo wanaonekana wachapa kazi
Freeman mbowe wanaandika Filemoni,slipway wanaandika sleepway basi tafrani tupu,
haya sasa nawaletea yule kiumbe aliyekuwa anaandikiwa documents kwa English na miss wema sepetuuuuuuuuuuuuuu
View attachment 476254
huyo wa pembeni mbna kama tejaaaaaaaaa!!!
picha linaendelea
 
Bashite :Say oooooohh
Fans: ooooh
Bashite: say bashiteee
Fans: bashite.
Anaaanza kuchana.

Verse ya kwanza naanza, stone kama banza, niite Bashite pesa muhim kwanza,

Shule ya nin hapa mishen town, mpunga umesoma cheti kipo nyumbani, nimewarubuni madingi hadi raia hadi wizarani...

(Fans waaaanza kurusha makopo ) kapanda MANGE KIMAMBI..

Mange: pass microphone msom nimepandan dimbani, kiongozi gani , zero imejaaa kichwani , huo unanga wapelekee kwenu nyumbani, tumeamka usilete pigo za kizamani, xxxxxssssszz bashite Zero kichwaaniii

Fans; mangeeee mangeeee

hio mistari kiboko
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom