Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,286
wewe jamaa uwa unanimaliza sana na hizi punch zako, hongera sana kwa kujitambua.
Wewe jamaa uwa unanimaliza sana na hizi punch zako, hongera sana kwa kujitambua.
pamoja tuseme na bado.
Sasa uko CUF? Yetu masikio utatoka huko ukitukana DINI!View attachment 141374
Enzi za Ujahilia,
CHADEMA nilipotea,
Namshukuru Jalia,
Kwani ameniokoa,
Loo! sasa najutia.
Enzi za ujahilia,
Nikikumbuka nalia,
Namshukuru Jalia,
Kwa aliyonitendea,
Hakika nilipotea.
Hakika nilipotea,
Njia niliyoiendea,
Kila nikifikiria,
Moyoni najisemea,
Rasini nilitimia?
Enyi mliobakia,
Dua ninawaombea,
Mpate kuiendea,
Njia ya kujitambua,
Nchi kuitumikia,
Babu anawatumia,
Yake yana muendea,
Yenu yana didimia,
Paka wana lialia,
Jikoni wamejilalia.
Paka wana lialia,
Jikoni wamejilalia,
Nchi ingejipatia,
Nguvu nilizojitolea,
Ajabu najionea.
Ajabu najionea,
Wachache wajijengea,
Ngome za kujilindia,
Viti walivyo kalia,
Mafurushi wajilia.
Mafurushi wajilia,
Bila haya nawambia,
Tena wanasingizia,
Gharama walizingia,
Risiti wa'zi chezea.
Hayo yakiendelea,
Kasheshe ipo Songea,
katibu ajionea,
Paka walio zoea,
Jikole kulichezea.
TIMU UZALENDO.
Njano5.
0784845394.
Hongera sana kwa ufunuo ulioupata, mungu anamuongoa ampendae
Ukihamia CUF umejitambua?Wewe jamaa uwa unanimaliza sana na hizi punch zako, hongera sana kwa kujitambua.
U made my day we kiboko iseee ntalala safiiii
Nimecheka sana!Kwa hiyo jamaa alikuwa ABU JAHIL!
Majanga...We ndezi! Huyo mungu wa cdm unakusudia yesu ama Allah