Nakumbuka enzi 2008 nipo form 2 ndio naijua jua shule nilicopy ile verse ya windo wa kidato kimoja J.I (huyu jama sijui yupo wapi siku hizi) mm niliandika kwa kingereza akaikamata teacher wa language kipindi hicho Madam Grace aliblow mapigo !!
Acha kabisa, enzi hizo ukiipata barua au kadi unaibusu kwanza mara mbili mbili, na unaisoma ukiwa sehemu tulivu ili kuvuta hisia katika maneno yaliyo kwenye hiyo barua/kadi.