hapo Kingunge wapi? Ila Julia kabisa Ni brigedia Mwakanjuki, Salm Ahmed Salm, nadhani hio ilikuwa Ni CC ya kweli kweli - mawazo yao na vitendo vyao kula kwao na kulala kwao vilikuwa sawa,sio ya sass kila mmoja anataka urais - eti hata MwiguluDr salmin Amour, Abdallah Natepe,Getruda Mongela,Kingunge Ngombale Mwiru
Mbona hapo hakuna wenye viriba tumbo kama hawa hapa chini? Au wakati huo hakukuwa na vyakula?
View attachment 190779
View attachment 190780
hapo Kingunge wapi? Ila Julia kabisa Ni brigedia Mwakanjuki, Salm Ahmed Salm, nadhani hio ilikuwa Ni CC ya kweli kweli - mawazo yao na vitendo vyao kula kwao na kulala kwao vilikuwa sawa,sio ya sass kila mmoja anataka urais - eti hata Mwigulu