Enzi la Kusoma kidogo ili ukimbilie kwenye siasa zimekwisha. Dr. Magufuli ameonesha njia

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
Kama ulikuwa na mpango wa kumwambia mwanao aishie ka-digrii kamoja shuleni awahi siasa na uteuzi basi think again enzi hizo zimeisha. Alianza na mawaziri hebu check hii ya makatibu wakuu

Pro. Kamuzora
Pro. Mkenda
Pro. Msanjila
Pro. Gabriel
Pro. Ntalikwa
Pro. Mdoe
Pro. Mchome

Dr. Ndumbaro,
Dr. Mtasiwa,
Dr. Mwinyimvua,
Dr. Turuka,
Dr. Mashingo,
Dr. Budeba,
Dr. Chamuluho,
Dr. Yamungu,
Dr. Kusiluka,
Dr. Meru,
Dr. Akwilapo,
Dr. Ulisubudya,
Dr. Pallangyo,
Dr. Likwelile,
Dr. Aziza,

Eng. Itombe
Eng. Mwihava
Eng. Nyamhaga
Eng. Malingo
Eng. Futakamba
Eng. Emannuel

TAFAKURI: Kwa muda mrefu sana. Wasomi wa nchi hii walisahaulika na kwa maana hiyo wakawa mstari wa Mbele kuikosoa Serikali zilizotangulia na hasa pale mambo yalipokwenda ndivyo sivyo. Rais wa awamu ya Tano, Dr. John Pombe Magufuli amewaona wasomi. Hatutegemei kuona wakimwangusha kwani ukosoaji wao wa serikali zilizotangulia utakosa maana kabisa.
Jambo la pili ambalo sasa vijana na wazazi tunapaswa kuachana nalo ni ile dhana kwmba Siasa ndiyo mpango mzima(ndiyo pa kutokea) , jambo ambalo lilipelekea vijana wetu kuona kama kama stashaha na shahada ya kwanza kama ni viwango tosha vya elimu kuwawezesha kutoka kupitia Siasa. Alichokianzisha Dr. Magufuli huenda kikawa kama mila na desturi ya serikali zitakazofuata.
 
Mkuu TataMadiba, hujawatendea haki watu kibao hapo wenye degree moja au Masters degree, japo umeorodhesha ma-injinia. Kumbuka ukiwa na Masters degree wewe bado ni Ms. au Mr., na kwamba Eng ni kwamba una degree moja tu au Masters.
 
Kama ulikuwa na mpango wa kumwambia mwanao aishie ka-digrii kamoja shuleni awahi siasa na uteuzi basi think again enzi hizo zimeisha. Alianza na mawaziri hebu check hii ya makatibu wakuu

Pro. Kamuzora
Pro. Mkenda
Pro. Msanjila
Pro. Gabriel
Pro. Ntalikwa
Pro. Mdoe
Pro. Mchome

Dr. Ndumbaro,
Dr. Mtasiwa,
Dr. Mwinyimvua,
Dr. Turuka,
Dr. Mashingo,
Dr. Budeba,
Dr. Chamuluho,
Dr. Yamungu,
Dr. Kusiluka,
Dr. Meru,
Dr. Akwilapo,
Dr. Ulisubudya,
Dr. Pallangyo,
Dr. Likwelile,
Dr. Aziza,

Eng. Itombe
Eng. Mwihava
Eng. Nyamhaga
Eng. Malingo
Eng. Futakamba
Eng. Emannuel

TAFAKURI: Kwa muda mrefu sana. Wasomi wa nchi hii walisahaulika na kwa maana hiyo wakawa mstari wa Mbele kuikosoa Serikali zilizotangulia na hasa pale mambo yalipokwenda ndivyo sivyo. Rais wa awamu ya Tano, Dr. John Pombe Magufuli amewaona wasomi. Hatutegemei kuona wakimwangusha kwani ukosoaji wao wa serikali zilizotangulia utakosa maana kabisa.
Jambo la pili ambalo sasa vijana na wazazi tunapaswa kuachana nalo ni ile dhana kwmba Siasa ndiyo mpango mzima(ndiyo pa kutokea) , jambo ambalo lilipelekea vijana wetu kuona kama kama stashaha na shahada ya kwanza kama ni viwango tosha vya elimu kuwawezesha kutoka kupitia Siasa. Alichokianzisha Dr. Magufuli huenda kikawa kama mila na desturi ya serikali zitakazofuata.

Hayo yote ni majipu! Kusoma sana sio kuelimika, kuna wengine hapo hata wewe unawazidi akili mbali sana, sema umezoea kuogopa hayo majina, eti prof, dr, Eng!! Jaribu kufikiri, kuliko kuhisi mkuu!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom