Nakumbukia ka erickson kangu enzi hizo, kipindi kile hata ukiwa na katochi wachumba wanajilengesha wenyewe, sasa hata uwe na liandroid lako hupati kitu.