Enzi hizo za Secondary

Ngoja nwape kisa.
Enzi hizooo,tupo form 5,me ndo kontawa namiliki kundi lina ad viongozi wa serikali.
One day dogo mmoja aliomba ajiunge kundi letu,sijui kwa nini binafsi sikutaka kabisaa atuzoee sema kamati kuu ikampitisha.
Ishu ilianza dogo huyo,ambae yeye alkua form 3 alipokuja shule na simu iki aendane na sisi kaka zake.
Hamadi siku ya siku kukatokea msako na enzi zetu simu zilikua adimu hata headmaster unaweza juta anatumia ya ttcl mezani.
Shortly dogo simu yake ikadakawa na zetu wengine wote tulihamisha maeneo sababu ilkua rahisi prefect kututonya maana tulkua vidato sawa kasoro dogo.
Hii evwnt inatengeneza chain reaction mbaya sana,
Dogo kimyakimya akatafta petrol,siku moja alfajir akawasha bweni lao asee,bahati nzuri hakuna alieungua na moto ulifanikiwa kuzimwa.
Nakumbuka hio asubuhi mmiliki wa shule akaja na difenda za kutosha,kituo kikahamia palepale,unaitwa ofisi unahojiwa.
Dogo aliti frame hadi nkaanza kutetemeka,kwanza alienda kuficha dumu la petroli kwenye chimbo knalojulikana kundi flani lnatumia,pili kumbe aliandika ujumbe kwa headmaster na mbaya zaidi alinakili a (herufi a) zangu,hua naandika a kama za pc/phone so moja kwa moja km kiongozi wa kundi jumba bovu lkawa lnaniangukia mimi,alvuo mafia yule dogo akasema alitoroka kununua petrol na mwana mwingine ambae alkua form 6 daah,tena wiki yao ya exams inaanza.
Bahati nzuri sana kuna madogo wenzie mwshoni kbsa wakati tunakarbia kupigwa pingu ndo wakaenda kutoa ushahidi kua chanzo ilkua simu na the rest nshaelezea.
Yule dogo alikamatwa na hakurudi tena,sisi tukamaliza 5 pale tukaambiwa tusake shule nyngne tusome 6 maana advvance ikafutwa kabisa.
Nikikumbuka hii ishu,yuke dogo ni reak pschopath asee..very Dangerous.sijui sahivi yukwapi,may lord help him.
Now wengne tukimaliza chuo na mishe xngne,wwngine wameoa,mmoja wetu msanii but hua tukimeet hatuamini kama mtoto mdgo vile na simu ingeweza haribu future yetu
 
Nilidakwa na Head Master nikiwa Lab nilikuwa najiandaa nitumie kuhesabu muda kwenye practical ya Heat.

Hakunirudishia na sikuifuata hata baada ya kumaliza NECTA, nilichofurahi ni kutonizingua kama kunipa adhabu au kuniagiza nimlete mzazi
wakishua
 
Aisee pole sana mkuu... kufukuzwa shule noma sna
 
Dogo alitaka kuchoma bweni ili apoteze ushahidi au???
Maana duuh alifanya unafia aisee itakuwa yuko jela ya watoto maana hiyo kesi ni ngumu mnoo...
 
Dogo alitaka kuchoma bweni ili apoteze ushahidi au???
Maana duuh alifanya unafia aisee itakuwa yuko jela ya watoto maana hiyo kesi ni ngumu mnoo...
Alitaka achome bweni km kumalizia hasira kwa maticha na vilevile kutu frame sisi wengine ndo tumehusika km revenge ya yeye simu yake kudakwa na zetu kupona ,ye aliona kk tumemsnitch tu kisa mdgo.alkua anacheza 2 in 1 kwa akili zake zlivyomtuma..
 
Nakumbuka siku moja ilikuwa jioni tumekusanyika kwa ajili ya kuhakiki namba... Mbele ya ofisi ya walimu... Sasa kuna jamaa simu yake ikaita ghafla na mkuu wa shule alikuwa akipita..
Mkuu aliposikia akamuita jamaa... Akamuamuru atoe ile simu, kisha aiweke juu ya jiwe, kisha achukue jiwe lingine aiponde ponde yeye mwenyewe mwenye simu yake...
 
Duuh aliiponda??
 
Aliiponda ponda, simu + sim card+ memory card
 
Nawakilisha wale ambao hawakupata hizo mbilinge za kupokonywa simu

Poleni sana
 
Nilidakwa na Head Master nikiwa Lab nilikuwa najiandaa nitumie kuhesabu muda kwenye practical ya Heat.

Hakunirudishia na sikuifuata hata baada ya kumaliza NECTA, nilichofurahi ni kutonizingua kama kunipa adhabu au kuniagiza nimlete mzazi
Hahaaa, uliona kuifata ingekua msala zaidi, bora kuitelekeza tu
 
Kuna jamaa etu alidakwa na simu

Ikabidi atupange washikaji

Mi nikatoa idea , tutafute namba ya head master hafu tumpigie

Kweli tukaipata tukampigia


Kilichofuata ni historia , sintoweza andika hapa ntajulikana!!
Waliwakamata au? Naskia mlirushwa vichura mbaya
,simulia kidogo basi baba swalehe hutojulikana banaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…