Kuna jamaa etu alidakwa na simuNilidakwa na Head Master nikiwa Lab nilikuwa najiandaa nitumie kuhesabu muda kwenye practical ya Heat.
Hakunirudishia na sikuifuata hata baada ya kumaliza NECTA, nilichofurahi ni kutonizingua kama kunipa adhabu au kuniagiza nimlete mzazi
Kuna jamaa etu alidakwa na simu
Ikabidi atupange washikaji
Mi nikatoa idea , tutafute namba ya head master hafu tumpigie
Kweli tukaipata tukampigia
Kilichofuata ni historia , sintoweza andika hapa ntajulikana!!
Kuna jamaa etu alidakwa na simu
Ikabidi atupange washikaji
Mi nikatoa idea , tutafute namba ya head master hafu tumpigie
Kweli tukaipata tukampigia
Kilichofuata ni historia , sintoweza andika hapa ntajulikana!!
Maadili yamekuwa F mkuu no shida sana...Kuna Waalimu pale Kigoma Sekondari, ni matapeli wananyatia mpk saa nane usiku kuona wanaotumia simu. Wakichukua wanauza, kumekua na ugomvi sana baina ya Waalimu na Wahitimu. Mwalimu Buto, Ndago, na Fredy one day mtaona hii comment, itakaa hapa miaka na miaka. Mtafafhaika.
Nawasilisha.
Achukue simu, muda ukifika nipe simu. Hakuna mahala sheria inasema mwal achukue simu ya mwanafunzi, by that time, nilikua(ga) nawasiliana na baba maana Poket money ilikua shida. Waalimu waligeuza kama fursa, kuchukua simu na makofi juu. Nawachukia basi tu..Maadili yamekuwa F mkuu no shida sana...
Ndiyo tukampigiaYani mkampigia na headmaster tena aisee mlipindaa sanaa..
Kidato cha sita ndo fom sirii?Nakumbuka mwaka fln niliokua kidato cha sita nakaribia kufanya mtihani wa Taifa (Necta), ukapita msako mmoja wa ghafla na bahat mbaya siku hiyo kulikua hamna mgonjwa bwenini ili nimwambie akafungue locker langu atoe simu yangu iliyokuwepo ndani ya hilo sanduku..Simu ikakutwa kwangu, sikupanic mana nilijiandaa tyr kisaikolojia kua lazima tuchapwe then tuendelee na kusoma kwaajili ya necta...Sasa kuchapwa hatukuchapwa (tulikua 4-form 6) tena bali tulifukuzwa kabsa na mtihani hakuna kufanya.. Nakumbuka nilienda kupanga kitaa huku napiga mitihani nje (series) nikijua ntarud kufanya pepa, nikaenda kwa mkuu wa wilaya kuomba anisaidie nifanye mitihani, akasema hataweza..ikabd nitoe taarifa kwa mama japo alilia ila nilimtuliza.. kesho yk tukaenda tena kwa Dc akawasiliana na shule ili turud na wazazi..wakamjibu tutawapigia simu wazazi wao waje shulen
Baada ya miez 4, wakasuluhisha yakaisha kwa ubshi sana...wakati yote yanatokea imeshafika Ijumaa ambapo j3 ndy paper linaanza....na natakiwa nifanye kutokea nilikopanga....nilihangaika sana...basi tu haya ni maisha
Kifupi nashukuru Mungu nilimaliza na nilifaulu na sasa chuo nimemaliza pia..ila ishu ya simu ndy ilinitesa nikiwa shule sema niliamin ntafanya pepa ndy mana nilifanya series za kutosha.
Hakuna sehem nilioandika hivyoKidato cha sita ndo fom sirii?
apana ukitafusiri kwa kingeresaHakuna sehem nilioandika hivyo
Ok nimekuelewa....namanisha "Form six"apana ukitafusiri kwa kingeresa
ahaa sawa bwana sunajua haya mambo ya shule kidogo hatuyafamuOk nimekuelewa....namanisha "Form six"
Yah nimekuelewa..kua na amani!!ahaa sawa bwana sunajua haya mambo ya shule kidogo hatuyafamu