Habari zenu wadau, leo kuna jambo nimeona tukumbushane. Kutokana na mabadiliko ya maisha, zama zile msichana kupata nafasi ya kukutana nae ili umweleze yako ya moyoni ilikuwa kitendawili, mimi nakumbuka niliwahi kutumia zaidi ya saa nne nimebana kichakani ktk njia ielekeayo kisimani nikimsubiri apite ili nipenyeze ujumbe. Hatimae nilimwona anakuja, hatua chache kabla hajanifikia nilijitokeza mbele yake na kudondosha kijibarua changu ili akiokote kisha nikachapa mwendo ili tusionekane na watu! Hebu nawe tupe style yako
pole mkuuKuna siku nilika sehem toka saa2 hadi saa6,kumbe njia ile alibadilisha baada ya kuongozana mama yake,roho iliniuma sana,na ukifikilia baridi ya kijijin.
duh........Halafu mkioana kila mmoja analala chumba chake pia
Habari zenu wadau, leo kuna jambo nimeona tukumbushane. Kutokana na mabadiliko ya maisha, zama zile msichana kupata nafasi ya kukutana nae ili umweleze yako ya moyoni ilikuwa kitendawili, mimi nakumbuka niliwahi kutumia zaidi ya saa nne nimebana kichakani ktk njia ielekeayo kisimani nikimsubiri apite ili nipenyeze ujumbe. Hatimae nilimwona anakuja, hatua chache kabla hajanifikia nilijitokeza mbele yake na kudondosha kijibarua changu ili akiokote kisha nikachapa mwendo ili tusionekane na watu! Hebu nawe tupe style yako
Mimi Wanawake wenyewe walikuwa wananimind walikuwa wanapenda kulala na mimi sababu nilikuwa mchokozi kwa kuwachungulia sketi zao kwa vioo... wakisusa nawapandia wakinogewa ni kila washikwapo na hamu nawapa huduma nilipoona wamezidisha nikawa nawaomba pesa au waninunulie kitu ili niwapande....
Kwa sasa ni kazi yangu kuwapa raha wamama na wadada kwa pesa tu.... bao atakazo.... Male Gigolo