Enyi warundi

Kiyoya

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,735
972
Nimesikia kwamba mmeitwa katika mazungumzo na wapinzani wenu huko Arusha kimsingi ni jambo zuri lakini sidhani kama mtafanikiwa kuzika tofauti zenu maana kuna mambo matatu sijawahi sikia mkiyatafutia suluhisho niulize tu hivi ile vita ya michobero mpaka kwa wingi wenu tukawapa hifadhi pale katumba,pale ulyankuru mlikubaliana vipi?mlifanya uchaguzi wa kidemokrasi mwaka 1993 akashinda ndadaye mwenyewe ndoto ya Burundi mpya gafla tu kusikia kauawa Hivi Mbona hatukuyasikia hayo maongezi ya arusha,sio hiyo tu raisi wenu cypirian kadunguliwa rwanda mpo kimya,tangu lini rais wa nchi akapewa lift?bagaza na buyoya wapo wanasubiri bona nee cypiriani na ndadaye mmh Haya jamani!! Kimsingi mazungumzo ya Arusha hayana tija kabisa ni kama kupoteaza muda msipoongelea makovu yenu labda kama mnataka kurudisha kale kamfumo ka uburetwa!!
 
Mmmh. Mazungumzo hufanyika upanga unapoelekezwa kwa watusti. Enzi za kina Ndadaye haikua shida sababu waluouwawa walikua wahutu.

Kumbuka reaction za Kagame alipoambiwa aongee na negative forces.
 
Back
Top Bottom