MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,159
- 5,400
Viungo vyote kwa ujumla na haijalishi umri gani kwani mke wa Ibrahimu alikuwa na umri gani alipomrubuni mzee IBRAHIMU kufanya ule uovu kwa mjakazi.Huo ni uongo. Inategemea viungo gani katika umri gani. Ungewaambia watumie akili zao
Una maana atumie papuchi kama kitega uchumi au kitu cha ku 'offer' kwa ME baada ya kupata msaada sioviungo vyenu vizuri
Inategemea nawew mwenyew kama utamkabdh akili yako akushikieNi kweli.... Mwanamke mwenye wowowo ana nguvu nyingi hatari!
Inategemea nawew mwenyew kama utamkabdh akili yako akushikie
Upo sahihi kusema 'inaweza', ni kweli kwa sababu inaweza kutokea au isiweze.Mungu wetu alipokuwa akimtafuta Adamu aliiita kwa sauti kuu Adamu uko wapi? Ukisoma vizuri utagundua kuwa swali hili lilikuwa la kijiografia(a geographical question on location) cha ajabu Adamu alijibu kwa kusema si mwanamke huyu uliyenipa.
Hayakuishia kwa Adamu yaliyomkuta Samsoni mchaji wa Mungu aliyeamua kutoa siri ya nguvu zake kwa mkewe Delilah ilikuwa matokeo ya viungo vya mwanamke.
Wataalamu wengine husema kuwa wakati wa tendo la kimapenzi mwanamke huwa na akili asilimia 100 huku akiwa na nguvu asilimia 0 wakati mwanaume huwa na nguvu asilimia 100 akili zikiwa 0 ndiyo maana waropokaji wengi wakati wa mapenzi inadaiwa wengi ni wanaume.
Kila kiungo ambacho mwanamke umejaliwa kuwa nacho mwilini tambua kuwa ni silaha yenye nguvu na inaweza kuleta madhara chanya au hasi katika maisha yako.
Yaliyotukia sasa juu ya shabiki wa Simba Haji Manara kuhama Simba na ni miaka michache tangu aoe mwanamke ambaye ni shabiki wa Yanga ilitosha kabisa kuhitimisha safari yake ya kwenda yanga licha ya simba kumtoa jalalani hadi dunia ikamjua.
Wanaume ishini na wake zenu kwa akili mtu unyeambiwa uishi naye kwa akili kuna mawili huenda hana akili na hafai kuwa dereva wako ama ana maarifa na akili kuliko wewe.
Enyi wanawake tumieni viungo vyenu vizuri maana nguvu ya viungo vyenu ni kubwa na inaweza kuathiri jamii ya wanaume na kizazi chote.
Hakumrubuni, Ibrahim ndiye alianza kumpenda mfanyakazi wake!Viungo vyote kwa ujumla na haijalishi umri gani kwani mke wa Ibrahimu alikuwa na umri gani alipomrubuni mzee IBRAHIMU kufanya ule uovu kwa mjakazi.
Si katika mapenzi tu mkuu.Siamini kama mwanamke anawezakumodify msimamo wangu kwa kutumia mapenzi,
Labda kwa kunishauri kawaida kama ambavyo mtu mwingine anawezakunishauri, i mean uzito wa ushauri wake ni sawa na ule wa mtu mwingine.
Kwangu mimi kuna mpaka kati ya mapenzi na maswala yangu mengine.
Hapa una maana kila mtu ashinde game zake.HaaaaaahaaaaaahaaaaaaNa sisi tutumie akili na pesa zetu vizuri
Una uhakika kwamba hizo akili wanazo?.Huo ni uongo. Inategemea viungo gani katika umri gani. Ungewaambia watumie akili zao