EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,675
- 2,115
Mnasema ccm hawajafanya lolote chini ya daktari JK.je haya hamyaoni.
1.wametuwekea pesa nje ya nchi.
2.kuua tembo na kusafirisha wanyama hai nje ya nchi.
3.kuvuana magamba.
4.kubadilisha ilani yao mpaka kuwa na ilani ya kupambana na chadema.
CCM WENZANGU MUWAONGEZEE MENGNE CCM OYEEEE.