Kwa experience yangu ndogo ndo hao wanaoitwa Afisa afya, wanafanya kazi katika maeneo mbalimbali
Kama Wilayan, MKoani, sehem nyingine wanazofanya kazi kama mipakan kwa ajil ya ukaguz wa bidhaa zote zinazoingia hasa zinazohusisha afya ya binadamu na wanyama! Pia kwenye viwanda huwa kuna Afisa afya, bandarin pia na viwanja vya ndege na kadhalika
Na wengine Lecturers vyote possible bila kusahau kwenye NGO's zinazohusisha Afya na mazingira,
Natumaini imeweza kukupa mwanga kias chake!