Poleni na majukumu wakuu,kama thread title ilivyo hapo juu naomba kuuliza hii kozi ya environmental engineering inahitaji requirements gani ili uweze kuisomea?
Huwezi soma engineering kama huna Phy Na Pure maths. Japo sometimes miaka yetu PCB walikua wanapewa nafasi sijui kama siku hizi wanaruhusu. Ila env engineering ni kama civil so kama bichwa lako gumu utaaga mapema sana.