Sawasawa, ukichukua tiketi unaanzisha stop-watch alaf dk ya 50 unatoka nje, unaenda kuingilia geti lingine unachukua tiketi tena. Unaweza tumia dk100 bure na utakua umemaliza shughuli yako! Uvumilie usumbufu wa dk20 za kutoka na kuingia tena, na ndipo utagundua umeokoa Tsh 500/- tena ya sarafu kwa masaa 2.