Guys mie natafuta watu wenye passion na kutafuta fedha na wenye ideal ambazo hazihitaji mtaji mkubwa kuanzisha biashara as partner.
Kama
1.Udalali wa nyumba,viwanja na magari
2.Kuandaa Events
Na mtu yoyote ambae anahisi ana wazo ka biashara tuyajenge tupige kazi kwa Dsm.
Pm now