Entrance exam

Entrance exam

hungary

Member
Joined
Jan 20, 2025
Posts
61
Reaction score
89
Habari wakuu.....
Kwa walio chaguliwa kuendelea na hatua ya pili ya kufanya mtihani kwa ajili ya kujiunga na chuo kwenye scholarship za Hungary kwa level ya OTM one tier master please ni pm ili tuweze kudiscuss na kusolve maswali

Lakin pia kwa waliowahi kufanya hii mitihani naomba mtuambie uzoefu wenu .... Na jinsi mitihan inavyofanyika na n.k
 
Tutafutane mkuu, mimi nimekuwa nominated na nimeambiwa nitatumiwa link (Microsoft teams) tar 28 march ndio usail
 
Habari wakuu.....
Kwa walio chaguliwa kuendelea na hatua ya pili ya kufanya mtihani kwa ajili ya kujiunga na chuo kwenye scholarship za Hungary kwa level ya OTM one tier master please ni pm ili tuweze kudiscuss na kusolve maswali

Lakin pia kwa waliowahi kufanya hii mitihani naomba mtuambie uzoefu wenu .... Na jinsi mitihan inavyofanyika na n.k
Nimekuwa nominated na kwasasa nasubiria link ya usaili wa tar 28 march 2025.....tutafutane kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom