Entebbe express way

Limuseveni Napo sometimes lipo vizuri
 
Alafu mbona kama zimejengwa mashambani. Nnavyo elewa mimi hizi zinakuwaga town sehemu penye msongamano mkubwa wa magari
 
Hiyo ni Kampala to Entebbe expressway, inaunganisha majiji mawili makubwa kabisa ya Uganda. Nilipita hapo hatua za awali mwaka 2013, wameijenga pembeni ya ile iliyokuwepo. Museveni hapo kawapa kitu kizuri na kikubwa waganda.
 
M7 yuko vizuri upstair
 
matumizi mabaya ya ardhi mibarabara ya porini ya nini 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…