Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,454
Hiyo ni list haijapangwaNe-yo above MJ? Like serious?
Halafu unakuta mtu anasema eti ni wakidunia hivyo haufai....πππEarth song ya Michael Jackson
Heal the world,labda pombe zinawachnganyaHalafu unakuta mtu anasema eti ni wakidunia hivyo haufai....
Maajabuπ M.J yule wa Your not alone,Ne-yo above MJ? Like serious?
Were the worldHeal the world,labda pombe zinawachnganya
π π π πHeal the world,labda pombe zinawachnganya
Si ndio hapo,MUNGU aliwaymba wale watu na talent ya ajabu,kuna watu kama kina bob marley,MJ ukisikiliza nyimbo zao unaona kabisa hapa huyu ni zaidi ya msanii,,Idea kama ya wimbo wa thriller unashindwa kuwaza huyu mtu aliwaza wapi,,Earth n.k daa
Labda tuseme kila mtu na machaguo yake, ila kusema eti 'sisikilizi kwa kuwa hizo nyimbo ni za kidunia na mimi ni mwanadini' ni ulimnukeni tu wa kidini usio na maana.
Kwa MJ peke yake, ukisikiliza nyimno kama; heal the world, earth song, we are the world, cry, a stranger in moscow, zinakufanya upate hisia za kutafakari kuhusu maisha katika njia ya pekee kabisa, hisia ambazo ni ngumu kuzipata hata kwenye hizo nyimbo za injili.
Kuna nyimbo za gospel unaweza sikiliza hadi unajisemea 'si bora hata nisikilize earth ya lil dicky'