xavihernandezalcantara
Senior Member
- Nov 17, 2020
- 124
- 132
πππHuchokiEnrique ~ Bailando naweza sikiliza siku nzima!
Enrique Iglesias???Yaaah huyu jamaa ni mkali.. Ila mtoa mada naomba Pronunciation ya hilo jina la msanii husika( Yote Mawili) kwa kiswahili kabisa maana linanitia jasho
π₯π₯π₯Don't you need somebody πΆπΆ
Hasa hilo LA pili.. Weka pronunciation take hapaEnrique Iglesias???
Asante mkuu kumbe una mfahamu???Kabla ya kumpokea Yesu maishani mwangu nilikuwa shabiki wa huyu jamaa,miaka takribani 7 hivi sina time na mziki wa kidunia
Baba yake aliwahi kuwa nyanda pale Real Madrid kitambo kidogoFundi sanaa huyoo jamaaa
Ila anasura ya kimpira sana yani angefaa sana acheze nafasi ya kiungo kama farbegas[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tusubiri wataalamu...Hasa hilo LA pili.. Weka pronunciation take hapa
π₯π₯Noma kubwa.
Namfahamu,ila kwa sasa siwezi kumsikiliza,ukiokoka huwa kuna configuration ya ajabu moyoni mwa mtu baadhi ya mambo yasiyo upande wa mila ya mbinguni yanakosa nguvu ndani ya mtuAsante mkuu kumbe una mfahamu???
sema why nat me ina kichaa chake iyo ngomaEnrique Iglesias__Hero
Enrique Iglesias_Escap
Enrique Iglesias_Somebody Me
Enrique Iglesias__Why Not Me
Enrique Iglesias__Addicted
Enrique Iglesias__Only a Woman
Enrique iglesias Takin back my love ft Ciara.
Enrique Iglesias__Your my number Oneπππ
Enrique Iglesias ft Lonel Rich__ To Love a Woman.
Hizo ni baadhi ya Ngoma kali za Enrique Iglesias zile za Slow..
Ukitaka zile za KuParty.
Kuna
Bailando(English Version)
Subeme La Radio. N.k
Kwa sasa sijaona mtu hatari wa kumuweka mzani mmoja na huyo Mspanish.....Labda ED Sheeran Anaweza kujaribu....
Jamaa Atazeeka na ufundi wake.....Nani anaweza kuwa zaidi na hits kama za Enrique Iglesias kwenye Pop,Na Latin Pop...
πππ jamaaπ hatari Labda Ed Sheeran...Umenikumbusha mbali sana enzi za chuo asee
Umenikumbusha mbali sana enzi za chuo asee
Asante mkuu mi namkubari saanaNamfahamu,ila kwa sasa siwezi kumsikiliza,ukiokoka huwa kuna configuration ya ajabu moyoni mwa mtu baadhi ya mambo yasiyo upande wa mila ya mbinguni yanakosa nguvu ndani ya mtu