U gotta be extra careful.asante hata hvyo nawaza tungekuwa karibu yasingetokea haya..noted
Maumivu ya mapenzi ni zaidi ya mwiba,huwezi kuelewa mpaka yakukute.Itakuumiza ila umefanya uamuzi sahihi kuamua kuendelea na maisha kuliko kuendelea kuishi na mtu anayekuumiza,surely utaumia ila iko siku maumivu yatakwisha na utasahau.
Kikubwa samehe tu,si kama alekukosea anafaa kusamehewa ama kwamba kosa lake linasameheka hapana ila ni kwa sababu moyoni mwako unahitaji amani na faraja mpya,na ni kwa kusamehe pekee.