Enjoy to the maximum

nikiwa kama mchungaji, ninafuta iyo mada ktk ulimwengu wa roho kwa damu ya yesu, ninakemea kila roho za kipepo, roho za uzinzi kwny mada iyo ili kila atakaesoma asiingiwe na izo roho kwa jina la Yesu Kristo.
 
nikiwa kama mchungaji, ninafuta iyo mada ktk ulimwengu wa roho kwa damu ya yesu, ninakemea kila roho za kipepo, roho za uzinzi kwny mada iyo ili kila atakaesoma asiingiwe na izo roho kwa jina la Yesu Kristo.

Acha utani asee,huoni hili ni wazo bora kabisa?.
 
Na kumuomba Mungu to the maximum

If your happiness is rooted in reading and writing about the Holy Book, do it to the maximum. Never let a day go without praying. Really live the Holy life. But if you find a moment to enjoy life do it to the maximum. Acha unafiki wa 'mimi ni mtu wa Mungu' wakati mwili unawaka kwa kutamani. Eat more... the slogan says.
 
Safiii sanaaa Mtakasaji watakase hao mabahili wajijuwe.

Maana kuna watu wanafikiri wataishi hapa duniani milele.... wanajibanaaaaa to the maximum, wanaishi kwa shidaaaa wakati pesa wanazo hata Mungu hapendi. Acha sie wengine tuenjoy kwa raha zetu tukitunza usalama wetu.
Today is furaaaaaha daaaay! ikifika 10. jioni bye bye magufuli see you jtatuuuuu
 
Last edited by a moderator:

Thank you. Na kweli neno SALAMA ndiyo nimesisitiza. Ukisha prove kwamba usalama upo enjoy to the maximum. Safety first.
 
Last edited by a moderator:
Kwakweli tena hii inatakiwa iwe kisheria kabisaaaa, wanaachaje kutupatia pesa alaaa!!

Teh ngoja nimkumbushe kaka mito akutumie ile hela. Haya mambo ya kujibana na wakati hela ipo hayafai kabisa. Ukikipata kitumie hadi kiishe, kitapatikana kingine
 
Last edited by a moderator:
Kama ndivyo tunavyofikiria basi tumekwisha....

At least sisi wa 1947 tumehangaika sana kuacha legacy.....
 


Nimekupenda bureeee! maisha ya kinafiki yanaumiza sana... fanya ile kitu roho inapendaaa!
 

. Dah mkuu kwenye mstari mwekundu umenifanya kuanzia leo niwe nasoma kwa makini.....kumbe hapo ndo mleta mada alipolenga.
 
Ni kweli "We should enjoy life to the maximum" lakini si kwa mtindo huo wa kunywa sana pombe,eti kufanya sana ngono hapana aisee...Kuna namna ya kuishi na ukawa na furaha mara zote;
**Ishi vizuri na kila mtu,mpende kila mtu

**Cheka na kila mtu(awe masikini au tajiri)

**Ongea na kila mtu

***Cheza na kila mtu

**Saidia kila mtu(kutokana na uwezo wako,simaanishi pesa tu hata kwa ushauri n.k) na Mengine meengi meeengi sana...
hayo ndo maisha yanayoweza kukupa furaha mara zote.

Enjoy Life To The Maximum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…