Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
Aug 14 11:45 GMT Tottenham Hotspur v Manchester City White Hart Lane
Aug 14 14:00 GMT Aston Villa v West Ham United Villa Park
Aug 14 14:00 GMT Blackburn Rovers v Everton Ewood Park
Aug 14 14:00 GMT Bolton Wanderers v Fulham Reebok Stadium
Aug 14 14:00 GMT Sunderland v Birmingham Stadium of Light
Aug 14 14:00 GMT Wigan Athletic v Blackpool The DW Stadium
Aug 14 14:00 GMT Wolverhampton Wanderers v Stoke City Molineux Stadium
Aug 14 16:30 GMT Chelsea v West Bromwich Albion Stamford Bridge
Kwasababu mpira unadunda....Karata yangu nairusha kwenye Bwawa La Maini.
Najua wengi wataniona kreze lakini ndio hivyo tena, kila mtu ana chembe chembe za Sheikh Yahya Hussein wake.
Kwa kuanzia na kwa msisitizo ; Kesho Arsene Wenger anapelekewa kilio...........Go Liverpool Go!
Bingwa,
Unatabiri kuhusu mechi au ubingwa?
Ubingwa mzee. Najua ntaonekana kreze lakini mpira unadunda na msimu huu lazima kombe litue Anfield!
Liverpool bado wanajipanga msimu huu..sioni uwezekano wa wao kuwa mabingwa.Ubingwa mzee. Najua ntaonekana kreze lakini mpira unadunda na msimu huu lazima kombe litue Anfield!
Ohh..Spurs wanatisha..
Spurs wazuri bana, acha kijiba cha roho......aaarrrggghh, nguvu ya sprite tu hao.
yu wapi Shedafa?
Spurs wazuri bana, acha kijiba cha roho..
MIE mshabiki wa soka bana, sina timu EPL.aah ha ha,...
mwaka huu nakuona tayari unashabikia Spurs!
Hapa tatizo sio kuenekana kreze.....ila tayari wewe ni kreze!
Wachambuzi wengi wanaipa ze bluz nafasi ya kutetea kombe....
Mi naina Man U ikiwa imebeba kombe lake hapo Mei 2011!:A S soccer:....Man U are going for # 19, remember?
BTW: Msimamo wa ligi ni huu kwa sasa...
1 Arsenal
2 Aston Villa
3 Birmingham
4 Blackburn
5 Blackpool
6 Bolton
7 Chelsea
8 Everton
9 Fulham
10 Liverpool
11 Man City
12 Man Utd
13 Newcastle
14 Stoke
15 Sunderland
16 Tottenham
17 West Brom
18 West Ham
19 Wigan
20 Wolves
Ze gunaz oyee...
Mkuu inasemekana Spurs wapo njiani kumsaini Gallas, hapo vipi?Naona kumekucha n the wait is over.sawa sawa kabisa tutaendeleza jadi ya kutambiana kama kawaida.