Gilbertlit
Member
- Jun 10, 2021
- 25
- 10
Kiswahili ni lugha ya hapa ndani tu.ngeli ni lugha ya dunia ukitaka kuamini hilo toka nje ya nchi kidogo tu uone kama kiswahili chako cha vishazi na nahau kitakusaidia kitu .kama sio kupata aibuHabari ya muda huu wana jamvi.
Leo naomba kuuliza swali hivi ni kwanini serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania [emoji1241] haina mpango wa kufikiria kuanza kutumia lugha ya Kiingereza kama lugha ya kufundishia na Kiswahili kikabaki kutumika kama lugha ya mawasiliano.
Ona jinsi vijana wengi walivyo hovyo kwenye kuzungumza kiingereza fasaha cha ajabu hata lugha ya Kiswahili bado pia wapo hovyo, hawazungumzi kiswahili fasaha, yaani kotekote tuko hovyo.
Mbona Kenya na South Africa wako vizuri kwenye lugha mbili wanazo zungumza. Mfano Kenya wako vizuri kwenye Kiingereza na Kiswahili pia mpaka wana tupiga bao kwenye kufundisha Kiswahili kwenye mataifa mengine ila sisi watanzania tupo nyuma.
South Africa wapo vizuri kwenye Kiingereza na kuzungumza lugha yao ya asili ya Kizulu na nyingine za asili.
Sisi watanzania kotekote tupo hovyo hatuzungumzi Kiswahili fasaha wala Kiingereza fasaha.
Wapi tumekosea na wapi turekebishe na nani aliyeleta hili kosa kubwa lililo turudisha nyuma na kuligharimu taifa kwa miaka mingi sana.
Kama zipi mkuuTumepishanana fulsa nyingi sana kwasababu ya kutokujua lugha ya Kiingereza
Habari ya muda huu wana jamvi.