Kinga kingdom
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 769
- 847
Ni kiingereza tel ni acronym Ya telephonekwani airtel ni neno la kingereza??
Eti? Usiharibu zaidi.
Umeniwahi swali langu mkuukwani airtel ni neno la kingereza??
Kweli kiingereza siyo lugha yetu asee!Hakuna neno la kiingereza linaitwa airtel
Kabisa mkuuKweli kiingereza siyo lugha yetu asee!
Unahisi atakuwa mwenyeji wa wapi?Hairtel[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], kweli
Sent using Jamii Forums mobile app