Engineers Develop System that Uses Waste Heat for Cooling, Electricity Generation

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,445
Wanajamvi watu wanakuna vichwa sisi huku tuko busy na politicki.. waht can we do ? Anyway hatuwezi hata kushindwa kuwa mareporter wa habari nzuri za kiteknolojia. teh teh teh


Haya jamaa wamegundua njia ya kutumia energy iliyokuwa inapotea kama joto. kwenye mitambo na magari.


soma habari kamili @ DailyTech - Engineers Develop System that Uses Waste Heat for Cooling, Electricity Generation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…