Engineering courses

Chalii X

New Member
Joined
Jul 19, 2019
Posts
3
Reaction score
2
Naombaa ushauri kuhusu engineering nzuri za kuapply kwa sasa ? Na mwenye ujuzi juu ya soko Biomedical engineering and aircraft maintenance engineering nchini?
 
Ningependa nikuambie kuwa ushauri utaupata baada ya ww mwenyewe kujua unapenda nn, maana yake sisi tutakusaidia kukupa mawili matatu juu ya hiyo programme na namna ya kujiandaa nayo.

Kila programme huwa ni nzuri inategemeana na mahali na uwezo wa mtu kiakili na kifedha pia. Kuna programme zingine ukisoma ngazi ya degree inahitaji usome na master haraka sasa kama kwenu mambo sio mazuri utaishia kuhangaika tu.

N.B chagua programme kulingana na uwezo wako lakini pia na kuipenda hiyo programme usichague kwakuwa unaufahulu mzuri basi naweza nikachaguliwa programme Fulani jitathmini ww kwanza na kichwa chako lakini angalia na status ya nchi yako na maslahi yako ya baadaye kupitia hiyo programme
 
Naombaa ushauri kuhusu engineering nzuri za kuapply kwa sasa ? Na mwenye ujuzi juu ya soko Biomedical engineering and aircraft maintenance engineering nchini?
We endelea ku apply kozi zinazoanzishwa kwa mihemko ya kisiasa uje ujute badae. Uliza peteolium engineering kinachowakuta kwa sasa.
 
Tafuta fani ambayo inaweza kukupa ata ujuzi wa kujiajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…