mudy abrahm
Member
- Oct 16, 2016
- 6
- 0
Daaaaaahhh!!! Kazi kweli kweliEngineer kafanyaje,kafumaniwa,katobolewa na msumari,kalewa akaangusha Gari watu wakampasulia mayai,kajenga chini ya kiwango,kapoteza vyeti vyake au amegundulika kuwa ni Engineer hewa?