Engineer vs mathematician

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Mainjinia wakiwa na measuring tape mkononi walikuwa wanahangaika kupima kimo cha 'flag pole'.Ikawa kila wakijaribu kupima ile flag pole,measuring tape inaanguka kabla hawajafika juu.Mwanamahesabu mmoja akafika akaamua kuwasaidia,akachomoa ile flag pole,akailaza chini,akaipima kwa ulalo kisha akawapa jibu.Mainjinia hawakuridhika na jibu wakasema sawa umetusaidia kupima UREFU lakini sisi tunataka KIMO!.
 
:iamwithstupid:STUPID ENGINEERS> WAPO TANZANIA AU
 

Imekaa vizuri
 
Huwezi kuwa engineer bila kujua hesabu banaaaaaa, halafu Engineers wako juu kwenye kuconsider options banaaaaa
 
Kichaa na chizi walikuwa wanabishana hapo...imekaa vizuri hiyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…