hata sijui sheheNaomba niwambie kuna waliobahatika wakaoa wanawake hapa katika hili jukwaa!
Ila nikwambie ukibahatika ukaoa mwanamke anayeifahamu JF ujue lazima upigwe tukio maana wanawake wahumu ni kama makuli wa bandarini uhuni wote matusi yote wanayajua na mbinu zote za uchepukaji wanajua!Na ukiona mwanaume ajui JF ujue huyo mambo mengi ya kidunia.
Nimesema haya baada yakuona vijana akiona Avatar nzuri anazama PM utauwawa bure!
Engineeer Soma Hiyooooooooooo!!!!!!!
Hilo halina ubishi ila kwa matukio mko mbali sana ukikuta mwanaumbe hajui JF ni nini atakuwa kila siku anapigwa matukio sana!Hakuna wanawake wastarabu na wife material kama wa huku JF
Kwanza hatuna show off za mapicha picha...tunajiheshimu mambo ya picha za utupu wanawake hatuna huku
Pili tunajielewa,hilo linajidhihirisha kupitia michango yetu humu
Tatu tunajua yale mambo ya ndani Demiss ni mfano mzuri
SASA JIFANYE UNAJIKUNA...
Vipi umeshapigwa tukio? Ni uzi gani unaelezea mbinu za kuchepuka naomba mnitag
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahHilo halina ubishi ila kwa matukio mko mbali sana ukikuta mwanaumbe hajui JF ni nini atakuwa kila siku anapigwa matukio sana!
Asa kwanini hukunistua wakati wajua fika kule kwa mbele ndo kiwanja changu cha kujidai?Mkuu upo nimekumiss sana kwa Man nilikuwepo juzi kati!Nikakukumbuka sana!
Na kweli nakaribia kuwa kama hako ka avatar [emoji23][emoji23]Ukweli ulio mtupu Nasema kutoka rohoni hivi mtu akiona hako kapicha kako mtu anajenga katika ubongo wake kuwa uko hivyo!
Ngapi huko????? 3-0Naomba niwambie kuna waliobahatika wakaoa wanawake hapa katika hili jukwaa!
Ila nikwambie ukibahatika ukaoa mwanamke anayeifahamu JF ujue lazima upigwe tukio maana wanawake wahumu ni kama makuli wa bandarini uhuni wote matusi yote wanayajua na mbinu zote za uchepukaji wanajua!Na ukiona mwanaume ajui JF ujue huyo mambo mengi ya kidunia.
Nimesema haya baada yakuona vijana akiona Avatar nzuri anazama PM utauwawa bure!
Engineeer Soma Hiyooooooooooo!!!!!!!
Mmmhhhh haya soma kwenye ramani πππππ.
Dooooh hatareee mkuu hahahaaaKuna mmoja huyo wakati tunachat akanambia unapenda nn nkamwambia Mimi bila tigo kikokotoo changu hakiridhiki kbc[emoji4] akanambia bc ww hunifai kbc [emoji849] nikabadili gia angani nkamwambia nilikuwa nakuzingua bwana[emoji21],Basi tukapanga miadi kufika ulingoni piga mashine mwisho wa siku nikajisajili line ya tigo vizuriiii kbc[emoji23]nikajiuliza inamaana huyu mtu Mumewe hapewi kbc haya madini muhimu ila ndo hivyo mzigo unalipa balaaaaa ahsante jf.somaaa hiyooooooo engineer [emoji1][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna wanawake wastarabu na wife material kama wa huku JF
Kwanza hatuna show off za mapicha picha...tunajiheshimu mambo ya picha za utupu wanawake hatuna huku
Pili tunajielewa,hilo linajidhihirisha kupitia michango yetu humu
Tatu tunajua yale mambo ya ndani Demiss ni mfano mzuri
SASA JIFANYE UNAJIKUNA...
Kauze mazao kwanza ndo uje ucomment...wakulima tunaruusiwa kucoment?