Engine ya Toyota landcruiser inahitajika

thereitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
297
Reaction score
41
salaam,
inahitajika injini mpya ya toyota landcruiser short chassis. Naomba kusaidiwa mahali inapopatikana na bei yake. Asante kwa ushirikiano wako.
 
Wakuu mbona kimya? hakuna anayefahamu? Tafadhali msaada wenu unahitajika sana
 
wewe uko wapi na unataka engine model gani
 
Wakuu mbona kimya? hakuna anayefahamu? Tafadhali msaada wenu unahitajika sana
Mkuu jaribu kuwa more specific ili usaidiwe.
Information uliyoitoa haijitoshelezi.
Toa hata specification za engine ya zamani unayotaka kui-replace ili hata kama mtu anacheck na dealers at least unakuwa na info za kukusupport.
Kama utafunguka zaidi naamini utafanikiwa. Asante.
 
Mkuu ni short chasis
 
salaam,
inahitajika injini mpya ya toyota landcruiser short chassis. Naomba kusaidiwa mahali inapopatikana na bei yake. Asante kwa ushirikiano wako.

mkuu land cruiser yako ni short chassis sawa je wewe unataka engene model gani..
unataka 1kz au 1hz zote kati ya hizo ukifunga zina fit katika hiyo cruser
 
Sawa mkuu yoyote kati ya hizo ili mradi inafit. niambie bei yake mkuu
 
Specifications? Land Cruiser zipo nyingi Diesel /Petrol? 6 Cylinder /4 Cylinders,Ikz or 1HZ?
 
Sawa mkuu yoyote kati ya hizo ili mradi inafit. niambie bei yake mkuu

1hz inafika milion 10 pamoja complete gear box yake...je hiyo ya kwako ya mwanzo ilikuwa na turbo au jibu nku saidie zaidi
 
Nipo Arusha. Nahitaji short chasis

Kwani kuna model ngapi za Toyota short chasis? Jibu zipo nyingi sana. Toa specification ya Engine ndipo utweza kupata msaada. Kusema short chasis hakutoshi.

Tiba
 
Huyu sio mwenye gari atakuwa Dalali tena uchwara asiyejua anatafuta kitu gani,Ni wa kupotezewa!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom