naomba mwenye kujua mahali pa kupata engine ya chaliot, au mwenye ushauri mbadala, kwani naona kagari kangu kanatoa moshi na maplug yanalowe bila mpango.