Hapana ikifika miles laki na kitu ndio hufanya hivyo kawaida mimi hubadilisha oil(synthetic oil)kila 5,000 mile(elfu tano miles). Kwahio mfano nanunua gari ina 2,000 mile baada ya miaka 4 au 5 ndio inaweza kufika hio laki na kitu inategemea na safari zangu na hio gari. Mfano Gari ya wife ina miaka 3 sasa sijaifanyia mpaka sasahivi, kwasababu uendeahaji wake sio wa safari ndefu.
Lunatic