Engine 5a inahitajika

Engine 5a inahitajika

Averos

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2010
Posts
994
Reaction score
703
Wadau,

Naomba yeyote mwenye taarifa ya wapi nitapata engine ya 5a Toyota Sprinter.

Nipo Lindi. Naomba nijulishwe na bei.

Natanguliza shukrani.
 
5A 7A ninazo bei yake ni 1.5 bila usafiri unaweza kuniche kwenye namba hii 0718879919 685.JPG 665.JPG
 
Mkuuu c umeshaambiwa 1ZZ nadhan ni za Rav4 kili time, hizo za 3s ni model ya kwanza ya rav4 sasa unauza engine alafu huelewi aina zake mkuu?

Ahsante Mkuu, kweli ni Kilitime!
 
Back
Top Bottom