Unateseka ukiwa wapi? Mbape anakwenda mazoezini na medali na kombe?Huyu jamaa shughuli yoyote lazima ajitokeze hata bila mwaliko,
Yanga wameponda weeee African football league hata sasa hivi ila siku ya ufunguzi Rais wa FIFA alipotoka jukwaani akiwa na wenyeji wake Rais wa TFF na Try Again mara Hersi kavamia hapo hapo jamaa hanaga mshipa wa aibu, Fainali ya African football league Africa kusini Yanga walisema amealikwa, mara wanaoruhusiwa kukaa VIP ni washiriki na waheshimiwa wengine jamaa akakaa kwa mashabiki.
Sasa wamekuja na uzushi kwamba alialikwa na PSG cha kushangaza kumbe jamaa kakutana tu Mbape baada ya mazoezi ambacho ni kawaida kwa watu wa kawaida ila Yanga wanaikuza tu wakati hata kwenye mitandao ya kijamii ya PSG hawajapost na hawajui, tuacheni ushamba picha na wachezaji wa kubwa ni kawaida washapiga sana kina Mwana FA, Ommy Dimpoz, Kitenge n.k.
Ila inatia aibu kuvamia shughuli na kuzusha umealikwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vilabu vikubwa kama Barcelona viwanja vyao pia vinatumika kwa utalii ,watu wanaruhusiwa kwenda kuangalia mafanikio ya timu, na historia. Kwahiyo tuliza huo mshonoUnateseka ukiwa wapi? Mbape anakwenda mazoezini na medali na kombe?
Uchawi unaanzaga hivihivi.
Kubeli zilipigwa marufuku wameruhusu Visungura unategemea nini?Kama ni rahisi na inawezekana kwa kila mtu
Hebu onyesha picha yako ukiwa nA Mbappe, Hakim
Wewe umeshiba chai chapati mbili unaanza kuandika upupu na kujichukulia uko sawa na Hersi
Hivi utaingia dressing room za PSG upige picha na walw mastaa bila kualikwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂Fainali ya African football league Africa kusini Yanga walisema amealikwa, mara wanaoruhusiwa kukaa VIP ni washiriki na waheshimiwa wengine jamaa akakaa kwa mashabiki.
Aibu kwa mtu ambaye ni rais wa club kuvamia vamia shughuli bila mialikoKama ni rahisi na inawezekana kwa kila mtu
Hebu onyesha picha yako ukiwa nA Mbappe, Hakim
Wewe umeshiba chai chapati mbili unaanza kuandika upupu na kujichukulia uko sawa na Hersi
Hivi utaingia dressing room za PSG upige picha na walw mastaa bila kualikwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una utani wa kijanja sana, kuberi na visungura kumbe zinampeleka kuvamia shughuli bila mwaliko.Kubeli zilipigwa marufuku wameruhusu Visungura unategemea nini?
CCM ndio adui wa nchi yetu kuzalisha vichaa kama hawa.
Akavamie nayeye apate picha, kama ni kawaida na ni rahisi kupiga picha na mastaa wa football ajiulize kwanini watu huvamia uwanjani kumfuata mchezaji?Unateseka ukiwa wapi? Mbape anakwenda mazoezini na medali na kombe?
Uchawi unaanzaga hivihivi.
Pimbi kama pimbi wengine katika ubora wake...........................Huyu jamaa shughuli yoyote lazima ajitokeze hata bila mwaliko,
Yanga wameponda weeee African football league hata sasa hivi ila siku ya ufunguzi Rais wa FIFA alipotoka jukwaani akiwa na wenyeji wake Rais wa TFF na Try Again mara Hersi kavamia hapo hapo jamaa hanaga mshipa wa aibu, Fainali ya African football league Africa kusini Yanga walisema amealikwa, mara wanaoruhusiwa kukaa VIP ni washiriki na waheshimiwa wengine jamaa akakaa kwa mashabiki.
Sasa wamekuja na uzushi kwamba alialikwa na PSG cha kushangaza kumbe jamaa kakutana tu Mbape baada ya mazoezi ambacho ni kawaida kwa watu wa kawaida ila Yanga wanaikuza tu wakati hata kwenye mitandao ya kijamii ya PSG hawajapost na hawajui, tuacheni ushamba picha na wachezaji wa kubwa ni kawaida washapiga sana kina Mwana FA, Ommy Dimpoz, Kitenge n.k.
Ila inatia aibu kuvamia shughuli na kuzusha umealikwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna harufu ya chuki kwa mbaliiiHuyu jamaa shughuli yoyote lazima ajitokeze hata bila mwaliko,
Yanga wameponda weeee African football league hata sasa hivi ila siku ya ufunguzi Rais wa FIFA alipotoka jukwaani akiwa na wenyeji wake Rais wa TFF na Try Again mara Hersi kavamia hapo hapo jamaa hanaga mshipa wa aibu, Fainali ya African football league Africa kusini Yanga walisema amealikwa, mara wanaoruhusiwa kukaa VIP ni washiriki na waheshimiwa wengine jamaa akakaa kwa mashabiki.
Sasa wamekuja na uzushi kwamba alialikwa na PSG cha kushangaza kumbe jamaa kakutana tu Mbape baada ya mazoezi ambacho ni kawaida kwa watu wa kawaida ila Yanga wanaikuza tu wakati hata kwenye mitandao ya kijamii ya PSG hawajapost na hawajui, tuacheni ushamba picha na wachezaji wa kubwa ni kawaida washapiga sana kina Mwana FA, Ommy Dimpoz, Kitenge n.k.
Ila inatia aibu kuvamia shughuli na kuzusha umealikwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo tunavamia wapiPimbi kama pimbi wengine katika ubora wake...........................
Tende pale navy kigamboni au tukavamie rongoni
Hizi picha si halisi angalieni vizuri..mbona km hersi kichwa kimepachikwa....Unateseka ukiwa wapi? Mbape anakwenda mazoezini na medali na kombe?
Uchawi unaanzaga hivihivi.